B-TABIA AU ISHARA ZA NDOTO KUTOKA KWA MUNGU

UMUHIMU WA NDOTO KATIKA MAISHA YA MWANADAMU by Pastor G

Episode notes

Wapinzani wa Ndoto na Upinzani wa Kiroho | Gwakisa Mwaipopo

📖 Isaya 60:22“Mdogo atakuwa elfu, na aliye dhaifu atakuwa taifa hodari; mimi, Bwana, nitayatimiza hayo kwa wakati wake.”

🔹 Je, unahisi kuna upinzani dhidi ya ndoto yako? 🔹 Kwa nini ndoto kubwa huja na changamoto kubwa?

Katika Podcast & YouTube ya Gwakisa Mwaipopo, tunazungumzia kwa kina:

Kwa nini ndoto kutoka kwa Mungu hukutana na wapinzani wengi?

Wapinzani wa karibu – Eliabu na Daudi (1 Samweli 17:28)

Upinzani wa kiroho – Danieli na kucheleweshwa kwa jibu la maombi (Danieli 10:12-13)Jinsi Mungu anavyothibitisha ndoto zako kupitia maono na watu – Mtume Paulo na wito wa Makedonia ( ... 

 ...  Read more
Keywords
#Ndoto #TafsiriYaNdoto #MawasilianoNaMungu #Ubunifu #Podcast #YouTube