NDOTO ILIYOCHELEWA NA TABIA ZAKE

UMUHIMU WA NDOTO KATIKA MAISHA YA MWANADAMU by Pastor G

Episode notes

Kuombea Ndoto Ambayo Imebeba Kusudi la Maisha | Gwakisa Mwaipopo

🔹 Je, ndoto yako imecheleweshwa? 🔹 Unahisi Mungu alikuonesha kitu cha kipekee lakini bado hakijatimia?

Karibu kwenye Podcast & YouTube, ambapo tunazungumzia ndoto za kiroho, maono, na kusudi la Mungu katika maisha yako. Ndoto kutoka kwa Mungu si za kawaida—zinaweza kuwa mwongozo wa huduma, wito, baraka, na nafasi yako katika jamii.

📖 Katika kipindi hiki, utajifunza: ✅ Jinsi ya kutambua ndoto inayotoka kwa MunguJinsi ya kuombea ndoto iliyocheleweshwaUshuhuda wa kibiblia na wa maisha halisi wa ndoto zilizotimiaNamna ya kushinda upinzani wa kiroho unaozuia ndoto zakoHatua za ... 

 ...  Read more
Keywords
#Ndoto #TafsiriYaNdoto #MawasilianoNaMungu #Ubunifu #Podcast #YouTube