Soma Mwanangu (Wosia)

by Nurdin Mihungo

Huu ni Wosia wa Mzazi kwa Mtoto wake, mzazi anaongea na mtoto kwa ufupi kuhusu mambo mengi ya dunia akimuasa namna bora ya kuishi, pia akimuasa kuhusu kusoma.

Sura Zilizomo.

i. Kuhusu Mwandishi ii. Sadaka ya Kitabu

  1. Kabla ya Kusoma
  2. Mazungumzo ya Jioni
  3. Soma Mwanangu
  4. Maisha na Kuishi
  5. Dini na Imani
  6. Hekima, Busara na Subira
  7. Utandawazi, Sayansi na Teknolojia
 ...  Read more

Podcast episodes