Note sull'episodio
Katika mfululizo huu wa "MSALABA", Mwl. Benjamin Abel anafunua nguvu, maana, na kazi kamili ya Yesu Kristo msalabani. Sehemu hii ya kwanza inatufundisha kwa nini msalaba ni msingi wa wokovu wetu na kwa nini neema inaanzia hapo.đ 1 Wakorintho 1:18 â âKwa maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi...âUjumbe huu utakuimarisha, utakurejesha, na kukujenga katika misingi ya kweli ya imani.
Parole chiave
msalaba wa Yesu,maana ya msalabanguvu ya msalaba