Note sull'episodio
Kabla ya Hosana â Kelele Bila Ufunuo ni Hatari
đď¸ Mwaliko Maalum:
Karibu kwenye kipindi maalum kutoka Voice of Hope â mahali pa mafundisho yasiyogoshiwa! Je, unajiandaa kwa Hosana yako? Au unaifuata kwa mkumbo wa umati? Episode hii ni lazima uisikilize na kuitafakari. Tafadhali subscribe, share, na acha maoni yako, ili ujumbe huu ufike kwa wengine pia. đ Link ya mafundisho kamili pia imewekwa kwenye bio!
đ Maelezo ya Episode:
Kabla ya kelele za âHosana,â kabla ya mafanikio, nafasi, au umaarufu â Yesu alijenga utayari wa ndani. Katika episode hii ya kwanza ya mfululizo wetu wa Sauti Isiyoelewa Kusudi Ndani ya Hosana, tunachambua maana ya kweli ya neno Hosana, na hatari ya kuifuata bila ufunuo wa kiroho.
Tutagusa  ...Â
Parole chiave
#KablaYaHosana #VoiceOfHopePodcast #SautiYaKusudi #HosanaNaUfunuo #PodcastYaKiroho #YerusalemuYaLeo #AmkaNaKweli #HosanaZaMitandao #BibliaNaMaisha #UongoziWaNdani #GethsemaneKablaYaMakofi
