Notas del episodio
Wapinzani wa Ndoto na Upinzani wa Kiroho | Gwakisa Mwaipopo
📖 Isaya 60:22 – “Mdogo atakuwa elfu, na aliye dhaifu atakuwa taifa hodari; mimi, Bwana, nitayatimiza hayo kwa wakati wake.”
🔹 Je, unahisi kuna upinzani dhidi ya ndoto yako? 🔹 Kwa nini ndoto kubwa huja na changamoto kubwa?
Katika Podcast & YouTube ya Gwakisa Mwaipopo, tunazungumzia kwa kina:
✅ Kwa nini ndoto kutoka kwa Mungu hukutana na wapinzani wengi?
✅ Wapinzani wa karibu – Eliabu na Daudi (1 Samweli 17:28)
✅ Upinzani wa kiroho – Danieli na kucheleweshwa kwa jibu la maombi (Danieli 10:12-13) ✅ Jinsi Mungu anavyothibitisha ndoto zako kupitia maono na watu – Mtume Paulo na wito wa Makedonia ( ...
Palabras clave
#Ndoto #TafsiriYaNdoto #MawasilianoNaMungu #Ubunifu #Podcast #YouTube