Wanangu podcast

Wanangu podcast

by Goodluck Joseph

Episode 47 | Unspoken duties

Mnapotoka na mwenza wako ni nani anahusika nakuratibu mipango ya siku? Mkirudi nyumbani ni nani anahusika na uchaguzi wa mlo wa siku? Episode hii inaangazia mjukumu ambayo mara nyingi hayazungumzwi ila kila jinsia huamini jinsia nyingine inapaswa kuyatimiza. Tega sikio.

Episode 46 | Ni nini hatma ya taasisi za elimu?

Kufuatia kuibuka na kuenea kwa akili mnemba (AI), ni matarajio kwamba watu watajifikirisha jinsi uvumbuzi huu wa kiteknolojia utavyobadilisha maisha yetu. Je, taasisi za elimu zitabaki salama katika madadiliko haya?

Episode 45 | The God son (Album review)

Episode hii inaangazia uhakiki wa album ya mwanamuziki Marioo iitwayo "The God son". Sikiliza uchambuzi wa wimbo kwa wimbo huku ukipata dondoo za namna host alivyoipokea kazi hiyo ya sanaa.

Episode 44 | Count your blessings.

Hesabu baraka zako.

Episode 43 | 2024 recap

Funga mwaka 2024.

Episode 42 | Santa

Santa claus au Father christmas ni nani haswa?

Episode 41 | Utambulisho

Episode hii inaangazia jinsi utambulisho wetu unavyoweza kubadilika kulingana na mazingira.

Episode 40 | Mawazo

Mawazo.

Episode 39 | Upepo dhidi ya jua.

Upepo dhidi ya jua.

Episode 38 | Chuki ndani ya urafiki.

Baada ya kamaliza kusoma riwaya, host anajiuliza maswali juu ya uwepo wa chuki ndani ya urafiki katika maisha yetu ya kila siku.
7 of 11