Wanangu podcast

Wanangu podcast

by Goodluck Joseph

Episode 37 | Nipe mji.

Moja kwa moja kutoka katika orodha ya mambo yake ambayo angependa kuyafanya angali yuko hai, katika episode hii, host anazungumza kuhusu mji/nchi ambayo anatamani zaidi kutembelea duniani huku alieleza sababu kuu za matamanio hayo. Karibu!

Episode 36 | When money isn't enough.

When money isn't enough.

Episode 35 | Utu

Katika episode hii mwongozaji anazungumzia mada aliyokutana nayo kwenye mtandao wa X (Zamani twitter) inayosema "kusaidia nyumbani mapema katika safari yako ya maisha ni chanzo cha kutofanikiwa". kwa kutumia mifano, anaichambua mada hii na kutoa mtazamo wake huku akibainisha yale anayokubaliana nayo na yale anayopingana nayo na mwishoni kutoa suluhisho.

Episode 34 | Ukubwa jalala

Sikiliza igizo hili linalogusa uhalisia wa maisha ya mijini kwa vijana watafutaji.

Episode 33 | Rafiki.

Episode hii inaangazia urafiki wa kawaida baina ya watu wawili wenye jinsia tofauti ambao kila mmoja wao yupo kwenye mahusiano yake. Hasara zake hutarajiwa na wengi ila vipi kuhusu faida zake?

Episode 32 | Monday will always come

Huwa unachukia Jumatatu ikifika? Sikiliza episode hii upate muarobaini wa "tatizo" hilo.

Episode 31 | Bendi feki, fedha halisi.

Fuatilia kisa cha jamaa aliyejitengenezea bendi feki mtandaoni na kupiga pesa za streaming.

Episode 30 | Viza

Pata kusikiliza dondoo mbali mbali kuhusu viza.

Episode 29 | Uraibu

Tuzungumze kuhusu uraibu.

Episode 28 |Tuzungumze majaaliwa

Tuzungumze majaaliwa.
8 of 11