Episode 46 | Ni nini hatma ya taa...
Episode 46 | Ni nini hatma ya taasisi za elimu?

Wanangu podcast by Goodluck Joseph

Episode notes

Kufuatia kuibuka na kuenea kwa akili mnemba (AI), ni matarajio kwamba watu watajifikirisha jinsi uvumbuzi huu wa kiteknolojia utavyobadilisha maisha yetu. Je, taasisi za elimu zitabaki salama katika madadiliko haya?