Usiruhusu Wivu Uharibu Moyo Wako!...
AI
Usiruhusu Wivu Uharibu Moyo Wako!
AI

Neno la Leo by Neno la Leo 255

Episode notes

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 18:7–9 tunaona mabadiliko ya kusikitisha yakianza ndani ya moyo wa Sauli. Baada ya ushindi, wanawake wanaimba wakisema Sauli amewaua maelfu yake na Daudi makumi ya maelfu yake. Sauli anasikia comparison hiyo na kuanzia hapo anaanza kumwangalia Daudi kwa jicho tofauti.

Lakini Daudi hajamkosea Sauli. Tatizo ni kwamba mafanikio ya Daudi yameanza kumfanya Sauli ajisikie mdogo.

Na hapo ndipo wivu huanzia mara nyingi. Mtu mwingine anapata promotion na badala ya kufurahi tunaanza kujiuliza, “Kwa nini si mimi?” Biashara yake inakua. Anaolewa au anaoa. Anapata mtoto. Ananunua nyumba. Anapata nafasi tuliyoitamani au anatambuliwa na watu. Ghafla, kitu kizuri kinachotokea katika maisha yake kinaanza kutuumiza sisi.

Lak ... 

Read more