EP 03: From School To Reality

EP 03: From School To Reality

The Life Through My Lenses Podcast by Tulinave
S1 · E3
Oct 4, 2026
39:32

Episode notes

Katika safari ya mafanikio, sehemu kubwa ya maandalizi yetu huanzia shuleni.

Katika episode hii, nitaongelea mtazamo na uhalisia wa mafanikio, kuanzia mtu akiwa shuleni hadi anapofika kwenye utu uzima.

Nimeongelea experience yangu katika shule niliyosoma, pamoja na observations zangu kuhusu maisha yangu na baadhi ya classmates wangu kwa ujumla.

I dedicate this episode to SMSS Class of 2014.

Karibu usikilize.

Keywords

Maisha

What place this episode is about

Where this episode is made