Part 2: Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | What Really Happened
Lets impact millions podcast by Let's impact Millions
Episode notes
Part two (2) ya Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida, Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka, Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla.
Keywords
millions