Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | Part 1
Lets impact millions podcast by Let's impact Millions
Episode notes
Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka. Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla. 🎙️ This is not a podcast — it’s a full masterclass.