EP 02: MASHAURI KUHUSU NDOA

EP 02: MASHAURI KUHUSU NDOA

The Life Through My Lenses Podcast di Tulinave
S1 · E2
3 ott 2026
47:51

Note sull'episodio

Hi, episode hii ni kwa kila binti aliye kwenye umri wa kukaribia kuolewa au anayetamani kuolewa.

Kuna wimbi kubwa la ushauri kutoka kwa watu tofauti, wanawake walioolewa, wanawake wakubwa, viongozi wa dini, mitandao ya kijamii na watu wenye mitazamo mbalimbali kuhusu ndoa.

Kila mmoja ana mtazamo wake, na wakati mwingine One issue kwenye ndoa inaweza kuwa na Different advice depending on who you ask!!!....

Sasa, wewe kama binti, unajiuliza nimsikikize nani?

Katika episode hii, kupitia mtazamo wangu, nazungumzia namna tunavyoweza kuupokea na kuuchuja ushauri huu bila kupoteza tunachotaka sisi wenyewe, huku tukiendelea kuwa na heshima kwa waliotuzidi umri na uzoefu.

Na kwa wale wanaotoa ushauri, hasa wanawake walio kwenye ndoa au wenye uzoefu, naamini episode hii itawasaidia kutambua pia mtazamo na changamoto ambazo watoto, wadogo au mabinti walio karibu nao wanakutana nazo.

Karibu usikilize hadi mwisho.

Parole chiave

Ushauri wa Ndoa

Di quale luogo parla questo episodio?

Dove è stato create l'episodio