Namna ya kuwa mtu mkuu (Becoming great) ~ with Mwl Makwaya & Belindabebe
Sikio podcast by Belindabebe and Geegee
Episode notes
Watu wakuu wanatengenezwa na ukuu una sifa zake, ukuu unarithishwa. Ungana nasi katika episode hii tukiwa na mwl Makwaya ambae pia ni mwandishi wa vitabu mbalimbali ikiwemo series ya vitabu vinaitwa "Tujifunze kwa" na katika episode hii amegusia tujifunze kwa mfalme Daudi, ukuu na tabia za ukuu. Mwl Makwaya anapatikana kwa namba za simu 0717567500.
Keywords
sikio podcastbelindabebegrateful2024geegeegift2024podcastkingdom businessleadershipMakwayasikioakilisikio tribegrowthAccountabilityLife balance Life Total transformation