Tariq Kipemba Aeleza Namna Alivyomwagiwa Tindikali
Clouds Media by Clouds Media
Apr 4, 2023
59:34
Episode notes
Ni miezi kadhaa imepita tangu tukio liliishtusha Tanzania baada ya Tariq Kipemba kumwagiwa Tindikali mkoani Kilimanjaro. Leo Tena imekaa nae kusikiliza kisa chake chote.