BABA GEN Z vs BABA MILLENNIAL LEZI KWA WATOTO.
Klub A-Z by KLUB A-Z
Episode notes
Jiunge na Allan Lucky na Xizo wakizungumza kuhusu utofauti uliopo wa malezi ya watoto kati ya wazazi ambao ni kizazi cha Millenial na kizazi kipya cha Gen-Z.
Keywords
Gen z, Millennials, Klub A-Z