Kwa nini hujaanza? ~ with Belinda...
Kwa nini hujaanza? ~ with Belindabebe Lifard

Sikio podcast di Belindabebe and Geegee

Note sull'episodio

Ni mambo mangapi umekua unapanga kuyafanya ili uwe bora na hujayaanza bado? Kitu gani kinakuzuia kuanza?

Hizo sababu zinazokufanya usianze, ni kweli ? Anza leo kufanya yale uliyopanga kuyafanya.

Parole chiave
sikio podcastbelindabebebebegeegeegiftkingdom businesssikiosikio tribeGee Lifard 2025Kwa nini hujaanza ?AnzaStart todayWhy haven't you started?