Unajitamkia maneno gani Kila siku? ~ with Belindabebe Lifard
Sikio podcast di Belindabebe and Geegee
Note sull'episodio
Watu wengi sana tumekua na uelewa kua maneno yana nguvu, lakini wakati huo huo tumekua tunajitamkia maneno ya kujikatisha tamaa kama "huu mtuhani siwezi faulu, huu ugonjwa ndio ulimuua fulani na mimi siwezi pona" katika episode hii tunakumbushana kujitamkia maneno yenye kujenga kwani maneno yana nguvu ya kujenga au kubomoa.
Parole chiave
sikio podcastbelindabebebebegeegeegiftfaithfaith lifesikiodeepsikio tribegrowthLife balance FreedomLife2025