Usiifiche Karama Ambayo Mungu Ame...
IA
Usiifiche Karama Ambayo Mungu Ameweka Ndani Yako!
IA

Neno la Leo di Neno la Leo 255

Note sull'episodio

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 10:22 tunakutana na picha ya kushangaza. Wakati umefika wa Sauli kutangazwa mbele ya watu kama mfalme lakini Sauli haonekani. Wanapomtafuta, Mungu anawaonyesha kwamba amejificha miongoni mwa mizigo. Jana tuliona Roho wa Bwana akimjia Sauli na Mungu akimwezesha kwa ajili ya jukumu lililokuwa mbele yake. Leo mtu yule yule ambaye Mungu amemwandaa anajificha.

Neno la leo linatufanya tujiulize: Kwa nini wakati mwingine tunakimbia kile ambacho Mungu mwenyewe ameweka ndani yetu? Mungu anaweza kutupa karama, uwezo, nafasi au jukumu lakini hofu, kujiona hatutoshi au kuogopa maoni ya watu kukatufanya tujifiche. Kuna tofauti kati ya unyenyekevu na kujidharau. Wakati mwingine tunasema, “Mimi siwezi, mimi sifai, kuna we ... 

Leggi dettagli