Mungu Hakuiti Bila Kukupa Uwezo!
IA
Mungu Hakuiti Bila Kukupa Uwezo!
IA

Neno la Leo di Neno la Leo 255

Note sull'episodio

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 10:6 tunamwona Sauli akikabiliwa na jambo kubwa kuliko maisha aliyokuwa ameyazoea. Mungu alikuwa anamwita kwenye jukumu jipya lakini hakutarajia Sauli alibebe kwa nguvu zake mwenyewe. Samweli anamwambia, “Roho wa Bwana atakujilia kwa nguvu” na kwamba Sauli atabadilishwa kuwa mtu mwingine. Mungu aliyemwita alikuwa pia anaenda kumwandaa na kumwezesha.

Neno la leo linatukumbusha kwamba wakati mwingine Mungu anaweza kutupeleka kwenye majukumu yanayotufanya tujiulize, “Mimi nitawezaje?” Tunaweza kuangalia uwezo wetu, uzoefu wetu au mapungufu yetu na kujiona hatutoshi. Lakini wito wa Mungu hautegemei uwezo wetu pekee. Mungu anapokuita, anakupa pia neema na nguvu unazohitaji kutekeleza kile alichoweka mbele yako.

Hii ha ... 

Leggi dettagli