Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo ...
IA
Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo Uliogawanyika!
IA

Neno la Leo di Neno la Leo 255

Note sull'episodio

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 7:3 tunamwona Samweli akiwaita Waisraeli warudi kwa Mungu baada ya miaka ya kupotea. Lakini kurudi kwao hakukuwa suala la kusema tu kwamba wametubu. Samweli aliwataka waondoe miungu mingine na wamwelekee Bwana kwa mioyo yao yote. Neno la leo linatufundisha kwamba toba ya kweli si majuto pekee, lazima ionekane katika mabadiliko ya maisha. Huenda sisi hatuna sanamu kama za Israeli lakini fedha, kazi, mahusiano, tamaa, kutafuta sifa za watu au hata nafsi zetu zinaweza kuchukua nafasi ambayo Mungu pekee anastahili. Je, kuna kitu tunachomwomba Mungu atusamehe lakini bado hatuko tayari kukiacha? Kurudi kwa Mungu kwa kweli kunahitaji si maneno mapya tu bali mwelekeo mpya wa maisha.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza paย ...ย 

Leggi dettagli