IA
Mungu Hukuongoza Mahali pa Baraka
IA
Neno la Leo di Neno la Leo 255
Note sull'episodio
ποΈ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:8β9. Boazi hakumpa Ruthu chakula pekee, bali alimwelekeza mahali pa kubaki, akamhakikishia ulinzi na kumfungulia mlango wa neema na kibali. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hutuongoza si tu kwenye baraka zake bali pia mahali ambapo baraka hizo zinapatikana. Je, tunatafuta uongozi wa Mungu katika maamuzi yetu, au tunakimbilia kila fursa inayoonekana kuwa nzuri?
Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ππβ¨