Registrati gratis
Funzionalità
Risorse
Prezzi
Podcasts
Registrati gratis
Accedi
HALISI CHATS
di Anna Chinyoyo
Carriere
Investimenti
Feed RSS
Ascolta su
Condividi
Episodi
Dettagli
Stagione 1
Fursa za Kilimo na teknolojia
Tulizungumzia fursa kwenye kilimo, namna ya kutumia teknolojia hasa AI kupata faida kwenye ukulima.
Lets talk about money with the Money guy
We talk about personal finance and investing.
Biashara za huduma
Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.
Ins and outs za Biashara
Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!
Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania
Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.
Basics za uwekezaji
Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable. Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?