MASHUJAA WA KWELI WA VITA KUU YA ...
MASHUJAA WA KWELI WA VITA KUU YA PILI YA DUNIA.

The LetsView Podcast di Chengula

Note sull'episodio

Wakati vita kuu ya pili ya dunia ikiendelea, kuna baadhi ya watu walijitoa sana kupigana kwaajili ya maisha ya wengine. Inasikitisha kuona hawatajwi katika vitabu vya kihistoria ilihali walikuwa na mchango mkubwa katika maisha ya wengi.

Tafadhali sikiliza kwa umakini episode hii, ili kuthamini mchango wa baadhi ya mashujaa hao wasioimbwa ipasavyo.

Parole chiave
vitaa kuu ya pili ya duniawwiiadolf hitleroscar schindlerirena sendlerchiune sugihara