Kuna wakati wa kujihurumia na kun...
Kuna wakati wa kujihurumia na kuna wakati wa kujikomalia~ with Belindabebe Lifard

Sikio podcast di Belindabebe and Geegee

Note sull'episodio

Mara nyingi sana tunakua na muda wa kuwahurumia wengine kuliko tunavyojihurumia, na kuna muda ambao ni lazima ujikomalie usijihurumie, ili kuweza kufikia pale ambapo MUNGU anataka na ametupangia kufika. ROHO MTAKATIFU ni mwaminifu, ukimshirikisha na kumruhusu atakuelekeza muda wa kujihurumia ni upi na muda wa kujikomalia ni upi.

Video production by SRStudio:

Contact 0692 034747

Instagram: https://www.instagram.com/sr_studiotz?igsh=MW5rNzg2ZzAwdjFkMA==

#2025goals #recordbreakingyear

Parole chiave
sikio podcastbelindabebebebegeegeegiftfriendshipabundancekingdom businessChristian podcastpurposegrowthpowerAccountabilityFreedom2025Podcast