Rafiki Yako Akifanikiwa Kuliko We...
IA
Rafiki Yako Akifanikiwa Kuliko Wewe, Bado Utamshangilia?
IA

Neno la Leo di Neno la Leo 255

Note sull'episodio

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 20:17 tunaendelea kuangalia urafiki wa ajabu kati ya Daudi na Yonathani. Maandiko yanatuambia kwamba Yonathani alimpenda Daudi kama alivyoipenda nafsi yake mwenyewe na akamtaka athibitishe tena kiapo chao.

Lakini kuna kitu kinachoufanya urafiki huu kuwa wa kipekee zaidi.

Yonathani alikuwa mwana wa mfalme. Kwa kawaida angeweza kutarajia kwamba siku moja angechukua nafasi ya baba yake. Lakini kadiri Daudi anavyosogea katika kusudi la Mungu juu ya maisha yake, ndivyo uwezekano wa Yonathani kuwa mfalme unavyopungua.

Yonathani angeweza kumwangalia Daudi na kuona competitor. Badala yake, alimwona rafiki.

Na hapo ndipo urafiki unapopimwa.

Ni rahisi kumshangilia rafiki yako anapoanza biashara. Lakini biashara ya ... 

Leggi dettagli