Episode 91 | Gharama ya Kuwa na F...

Episode 91 | Gharama ya Kuwa na Fahamu.

Wanangu podcast por Goodluck Joseph

Notas del episodio

Katika episode hii, host ana-share wazo lililomjia hivi karibuni kuhusu fahamu (consciousness), lililomchochea kuanza kuchunguza kwa kina maana halisi na uhalisia wa dhana hiyo.