Ep01: MWANZO MZURI- From Talking ...

Ep01: MWANZO MZURI- From Talking to Myself to Talking to You

The Life Through My Lenses Podcast por Tulinave
T1 · E1
25 sept 2026
17:24

Notas del episodio

Karibu kwenye show yangu.

Nitakuwa nikizungumzia mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu—familia, mahusiano, maisha na mada nyingine zinazogusa maisha yangu na yetu kwa ujumla.

Hapa natoa mtazamo wangu, lakini pia naamini kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake.

Naamini katika maongezi yenye kusikiliza na kubadilishana mawazo bila kudharauliana wala kukandamizana.

Na zaidi ya yote, napenda kucheka, kufurahi na kupiga story.

So, let's talk about anything.