HUYU YESU NI NANI { Mwana wa Mung...
HUYU YESU NI NANI { Mwana wa Mungu, Mwana wa Adamu ]

ICC Dodoma por iccdodoma

Notas del episodio

Utambulisho wa YESU ni nani ni jambo la muhimu sana kwa mwamini na hivyo basi unaweza kufuatilia masomo haya ambayo yanaruhusu NENO LA MUNGU lenyewe litujibu swali hili la msingi la YESU ni nani.

Jibu lako binafsi la YESU ni nani ni la muhimu sana kwa maana ndio huamua HATMA yako, ya kuwa utakuwa na Milele na YESU au utakuwa Jehamu. Hivyo huna budi kujua kibinafsi YESU ni nani .

  1. YESU NI MWANA WA MUNGU
  2. YESU NI MWANA WA ADAMU
Palabras clave
icc dodoma