LOVING YOURSELF UNCONDITIONALY

TRANSFORMATION por Anselmo John

Notas del episodio

Kujifunza namna ya "Kujenga Upendo Binafsi" (Self-Love) ni moja ya jambo muhimu sana unaloweza kufanya katika kufanya mabadiliko chanya ndani ya maisha yako.

Unapokuwa na Maarifa haya, ni rahisi sana kukabiriana na changamoto ya aina yoyoye utakayokutana nayo, iwe kubwa au ndogo.

Mitazamo na fikra za watu wengine juu yako, hazitakuwa na nguvu tena.

Utakuwa na fursa ya kuona maisha yako katika mtazamo chanya zaidi, utakaokusaidia kupiga hatua zaidi.

Wewe kama kiumbe mwenye THAMANI na Hadhi kubwa kuliko viumbe wengine, umeumbwa na Mazuri, pamoja na Madhaifu yako.

Uzuri ni kwamba, wengi tunapenda kuyaona yaliyo mazuri tu kutoka kwetu..

Na ubaya ni kwamba, tunachukia mno kuona madhaifu yetu.

Unafahamu Madhaifu yako, ndio yanakukamilisha wewe kama mtu?

Unatambua kwamba, nyuma ya madhaifu yako pamejificha ... 

 ...  Leer más
Palabras clave
upendo binafsiupendomahusiano binafsithamani