Dr Frank Wekley Gansaulus--Jumapi...
Dr Frank Wekley Gansaulus--Jumapili Ya Fursa.

The LetsView Podcast por Chengula

Notas del episodio

Historia nyuma ya uanzishwaji wa chuo/taasisi ya teknolojia ya Armour, yaani "Armour Institute of Technology" (Kwa sasa: Illinois Institute of Technology), haianzii katika ukatwaji wa utepe kwenye ile siku ya ufunguzi wa milango ya chuo hicho ya September, 1893. Historia yake inarudi nyuma kidogo, mpaka kwenye ile asubuhi ya jumapili moja, ndani ya ibada ya kanisa la 'Plymouth Church'.

Hii ni simulizi fupi ya namna ambavyo maono yaliyokuwa yamejificha ndani ya moyo wa kijana mmoja, yalivyozaa hiyo taasisi ya elimu--Tafadhali isikilize.

Palabras clave
ibadakanisayesuphilip armourfrank wekley gansaulusinjilimahubirijumapilikanisanielimuchuotechnologyteknolojiaillinoisillinois institute of technologyarmour institute of technologytop gandrew tateschoolimagination