Dakika 54 za kukupa sababu ya kufanya "Planning" ili ufanikiwe 2025 ~ with Belindabebe and Gee Lifard + Doreen Lifard
Sikio podcast por Belindabebe and Geegee
Notas del episodio
Tunapoanza mwaka mpya, kuna mambo ambayo yanaweza yakakupa nguvu ya kuendelea kwa ushindi au yakawepo mambo ya kukukatisha tamaa na kuona kua mipango yako na ndoto zako ni kubwa na haziwezi kufikiwa. Katika episode hii ya kwanza ya mwaka 2025, wageni wetu wanatushirikisha kwa undani umuhimu na faida za planning, na hii episode itakusaidia kuinuka tena na kuweka mipango na mikakati ili uweze kuwa na mwaka wa ushindi 2025.
Heri ya mwaka mpya wapendwa wetu sikio podcast tribe.
Mwaka wa kuvunja rekodi ili kuwa bora zaidi.
#recordbreakingyear
#2025goals
Palabras clave
2025Record breaking year