LIFE DIVA Vs A COLLEGE STUDENT // Pre - Cap E - Cast // LOVE IS BETTER THAN SEX.
PIECE OF CAKE por Next Generation Venture
Notas del episodio
SWAHILI
Hii ni Pre - Cap ya E - cast ( Kipindi kwa lugha raisi ) ambacho kinatarajiwa kuanza kuruka rasmi siku chache zijazo kwa mfumo wa episode ( mfululizo au mtiririko ) ambacho kitakuwa kinahusisha wageni wawili kutoka katika sehemu tofauti tofauti na nyanja tofauti wenye fikra, mitazamo na mawazo tofauti kuhusu mambo mbali mbali yanayoendelea katika jamii zetu hususani katika fikra za vijana wengi. lengo ikiwa ni kukuza staha binafsi kwa vijana na sera ya kujikubali katika kila ulifanyalo. Kipindi Kinatarajiwa kuwa na muonekano huu, Tunapokea mawazo na mitazamo tofauti tofauti ili kufanya kipindi hiki kiwe bora.
ENGLISH
This is the Pre-Cap of E-cast which is expected to start airing officially in the next few days in the form of consecutive episodes, which will involve two guests from diff ...