Lets impact millions podcast

Lets impact millions podcast

por Let's impact Millions
Temporada 1
Safari ya Maisha, Kuajiriwa mpaka Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS
Jifunze kuhusu Safari ya Maisha, Kuajiriwa mpaka Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS kutoka kwa CEO wa room of jeans brother dominic mmasi
Jinsi Alivyoacha Udaktari na Kujenga Biashara ya Bilioni 2 Kwa Mwaka Bila Mtaji | Full Masterclass
kwenye hii episod utajifunza safari nzima ya jinsi CEO wa ubepari company Alivyoacha Udaktari na Kujenga Biashara ya Bilioni 2 Kwa Mwaka Bila Mtaji | Full Masterclass
Safari Yangu Ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | FULL MASTERCLASS
From failing Form Four to building wealth, businesses, and a powerful vision - Ibrahim Chenza shares the real secrets behind his success. This is not just a podcast, it’s a full masterclass.
Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | Part 1
Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka. Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla. 🎙️ This is not a podcast — it’s a full masterclass.
Part 2: Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | What Really Happened
Part two (2) ya Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida, Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka, Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla.